SMS ya kumtumia mpenzi wako usiku
Nenda sms taratibu kwa yule ma BEST nimpendaye,ukimkutaamelala ucmuamshe mpige busu kisha mnong’oneze mwambienampenda sanaaaaNilivyokutana nawe cku ya kwanza nilikupenda kwa dhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyoni mwako,cwezikuchezea nafac hyo laaziz nitakushika daima. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yakokuwa pamoja Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko nafuraha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha maranyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapakukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtuanayekujali. Read and Write Comments
Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?
SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie. Read and Write Comments
Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako penzi lake ni tamu sana
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wapenzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazikwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenyekachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenyemkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli
“Mimi sitaki kuwa kila kitu kwa kila mtu, lakini napendakuwa kitu kwa mtu.na mtu mwenyewe ni wewe”nakupenda laazizi“Kama mimi nilikuwa na maua kila wakatimawazo yanguyangekuwa juu yako,nisingefikiri wa kumpa mwingine kablayako je wewe ungekuwepo nayoungempa nani kwanza? “ Read and Write Comments
Ujumbe wa SMS kwa mpenzi wako anayetaka kukuacha
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniachakuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yakohifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda. Read and Write Comments
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapotambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupoanayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudanitambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hatakm upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele! Read and Write Comments
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutamankukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ilamwili wangu upo kwa ajili yako dear Read and Write Comments








I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments