
SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear Read and Write Comments

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha

Ujumbe wa mapenzi kwa mpenzi wako kumwambia unampenada na unamkumbuka
kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbatolako,nakupenda mpenzi Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumuahidi kuendelea kumpenda daima
Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! “NAKUPENDA MALAIKA WANGU” Read and Write Comments

Meseji ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbukakuna akupendaye naye ni MIMI!. Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kunapokuwa na wanafiki wanaoingilia penzi lenu
Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penziletu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito. Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kila unapomtazama
Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jamboambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kilaninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena. Read and Write Comments

SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwaunaempenda Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumtakia mahangaiko mema ya kazi
Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz Read and Write Comments
Recent Comments