
Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments

Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa kmmfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembelezaย

SMS ya kumsisitiza mpenzi wako asiende kwa mwingine
chekecho la huba ,toka uvunguni mwa moyo wangunavika moyo wako taji la upendo,na kupulizia marashi ya hubaa ,usimpe mwingine mi ndiye ninayejua kulea. Read and Write Comments

Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda
Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo Read and Write Comments

SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye
Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu.

Ujumbe wa kimapenzi kumwambia umpendaye kuwa hutomsahau na kumuomba asikusahau
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini simtumaji. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata. Read and Write Comments

Meseji ya kumuaminisha mpenzi wako kuwa unampenda
upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa hayanisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwamba
wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu
tabasamu
Recent Comments