Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye

Usikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.

Unaweza kutuma Ujumbe huu kwa Umpendaye hapa

SOMA HII:  Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo