Kinaelezea Jinsi ya Kufuga Kware
Kitabu cha Ufugaji wa Kware/Kwale kwa Faida
Sh0
Hiki ni kitabu kizuri kinachoelezea kuhusu namna ya kufuga Kwale.
Kitabu hiki kinaeleza yafwatayo;
Yaliyomo
Utangulizi ……………………………………………………………… 2
Chakula ……………………………………………………………….. 3
Kutaga na kuatamia kwa Kware …………………………. 4
Utunzaji wa vifaranga vya kware ………………………… 5
Utunzaji wa vifaranga vya kware Siku 1 – 7 ………. 5
Utunzaji wa vifaranga vya kware Siku 8-14 ………. 7
Utunzaji wa vifaranga vya kware Siku 15-21 …….. 7
Utunzaji wa vifaranga vya kware Siku 21 na Kuendelea ……………………………………………………….. 8
Utagaji Wa Kware ………………………………………………… 9
Wiki Ya Sita ……………………………………………………….. 9
Magonjwa ya Kware …………………………………………… 9
Tiba za asili za kware ……………………………………………. 9
Mwarobaini na Aloe Vera ………………………………. 10
Kitunguu swaumu …………………………………………… 11
Maziwa …………………………………………………………… 12
Mambo ya Kuzingatia katika ufugaji wa Kware 13
Chanjo Ya kware ……………………………………………….. 14
Soko la kware …………………………………………………….. 15
Faida Za Kufuga Kwale ……………………………………… 17
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa Soft copy [pdf] ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Bofya “Click Here to Download” kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.