
SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako
Uzuri wako hung’ara kuendana na matendo yako,Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,kwa yote yajayo mbeleni mwako. Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake
mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwezkuipeza,nakupenda wewe pekee Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijutenakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz Read and Write Comments

Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. Read and Write Comments

SMS nzuri kuhusu maana ya mapenzi
mapenzi si pombe lkn yanalewesha, wala si kidonda lakiniyanatonesha,wala si maradhi lakini yanaumiza, wala sinjaa lakini yanakondesha ,mapenzi ni uvumilivu kwaunaempenda Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni mtu muhimu sana katika maisha yako
Nakupenda mpenzi W nafasi uliyotawala moyoni mwangu nikubwa, hakuna ambaye anaweza kufikia uhodari wako, wewe nimtu muhimu sana maishani mwangu. Read and Write Comments

Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako
Njoo pendo langu nikutembezekatika milango ya furahaNikuwakilishe mbele ya majamaa zanguNikuonjeshe asali ya pendo langu Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutampenda mwingine zaidi yake
Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingiumejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, amahakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu “SINTOMPENDAMWINGINE ZAIDI YAKO” Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! Read and Write Comments
Recent Comments