SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
SMS ya kumtumia mpenzi wako wakati wa usiku
Uamkapo nitakupa langu tabasamu
Ukweli wa moyo utawale roho yako
Kwani macho yako ndo uzuri kwangu
Nakupenda sasa na milele kipenzi change
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Read and Write Comments
Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele
Tambua kuwa nakujaliFurahia kwamba nitakuwa na weweKatika siku zote za maisha yanguNitakupenda bila kikomo milele Read and Write Comments
SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japoย
Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenziunayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mtu unayempenda unatamani akupende
Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahinikiwa mimi, Read and Write Comments










I’m so happy you’re here! ๐ฅณ













































































Recent Comments