
SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kuamsha mapenzi kwa mtu
Kulikuwa na vipepeo wawili waliokuwa wanapendana sana, siku 1 waliamua kucheza mchezo wa mahaba. Waliweka ua na walipanga kesho ambaye atakuja mapema na kukaa juu ya UA, atakuwa anampenda mwenzake zaidi. Asubuhi kipepeo dume alienda mapema sana na kukaa juu ya UA. Masikini kumbe jike alifika tangu jana kumwonesha mpenzi wake ni jinsi gani anavyompenda…!! …

SMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwadakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo Read and Write Comments

Meseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtumuhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kujivunia kuwa na yeye
Furaha yangu ni kuwa nawe kwani u zaid ya mboniyangu,najisifu kuwa nawe maishani mwangu naamini itatokeakutokuwa mbali nawe mpz wangu,unisahaulishe machungu nakaraha za huu ulimwengu .nakupenda dia. Read and Write Comments

SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtumia mume wako
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupamahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. Read and Write Comments

SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumtumia laazizi wako kumwambia jinsi unavyompenda
naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafunguanafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wanguilikutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yakompenzi.nakupenda sana laazizi Read and Write Comments
Recent Comments