
Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yakokuwa pamoja Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
ewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear! Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini KukupendaWewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako asichoke kukupenda
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifananinachochote kwenye huu ulimwengu, sina budikumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejalihisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments

Ujumbe wa SMS kwa mpenzi wako anayetaka kukuacha
Hakika sikutaraji kulikosa lako penzi, wataka kuniachakuniacha ningali nakuhitaji, mpenzi tambua nahitaji yakohifadhi na niko radhi kukupeleka hadi kwa wangu wazazi,amini kwenda kwa mwingine sihitaji. Nakupenda. Read and Write Comments

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu. Read and Write Comments

SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,
fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,
fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo
Recent Comments