SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako sababu ya kumpenda
wengi hupenda fanta kwa ladha yake,wengine hupendapilipili kwa muwasho wake,wengine hupenda asali kwa utamuwake ila mimi nakupenda wewe kwa upendo wako. Read and Write Comments
Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. Read and Write Comments
SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letuNdilo sababu ya nguvu yanguTangulia pembeni mwa macho yakeAsubuhi hii hadi usiku ujao Read and Write Comments
Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa kmmfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho. Read and Write Comments
SMS ya kumsihi mpenzi wako asiende kwa mwingine
Nakupenda sana mwandani wangu ndiyo maana moyo wanguhupatwa kidonda ninaokuona na mwingine hasa anapokuwa hanasifa, nahisi kama anakutumia wewe kama mdori wake wakumfurahisha. Uwe makini ua la moyo wangu. Read and Write Comments
SMS ya kumuonyesha mpenzi wako unavyompenda
natamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako ajiepushe na vishawishi
Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwamoyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu,tupendane daima lahazizi… Read and Write Comments
Meseji ya kumtahadharisha mpenzi wako na maadui wa penzi lenu
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafikizako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zakowanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya,tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima. Read and Write Comments
Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwambamwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linawezakusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa nawezakukuacha. Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments