SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
Meseji ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbukakuna akupendaye naye ni MIMI!. Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli kwa moyo wake wote
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeanabila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. Read and Write Comments
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Read and Write Comments
Meseji ya kumsihi mpenzi wako azidi kukupenda
Natambua ugumu wa mapenziMengi ni matamu, mengine ni machachuIla nakusihi usikate tamaa ya kunipenda kimoyo Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako ya kumuomba aje kwako
Mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioishahamu,nitakupa mwili wangu ucheze nao hadiasubuhi,nitakulisha unachokitaka,sitakubania kwani naogopawengine wanaweza kukupa… .njoo leo uniambie unatakanini? Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments