Ujumbe wa Kimahaba wa kumwambia mpenzi wako upo tayari hata kumpa maisha yako
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia nimajani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangubure. Read and Write Comments
Meseji ya kumbembeleza mpenzi wako aje kwako
mpenzi usiende mbali nami,njoo ufaidi utamu usioishahamu,nitakupa mwili wangu ukeshe nao,nitakulishaunachokitaka,sitakubania naogopa wengine wataniibia. ..njo leo uniambie unataka nini? Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli kwa moyo wake wote
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeanabila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumtumia laazizi wako kumwambia jinsi unavyompenda
naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafunguanafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wanguilikutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yakompenzi.nakupenda sana laazizi Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langunakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu Read and Write Comments
Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli
Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familiaPendo la kweli humaanisha, kupenda kweliKumlinda, kumjali, kuvumilia na kusameana Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako
Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments
Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya. Read and Write Comments








I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments