
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wanguKitulizo cha moyo wanguKwenye shida na rahaWewe ni sehemu ya maisha yangu milele Read and Write Comments

SMS ya mahaba ya kimapenzi ya kutakia siku njema
Licha ya upole ulionao! Pia upendo wako ndio kishawishi cha kunifanya nikukumbuke siku zote. Jiulize! nina namba za watu wangapi ktk cmu yangu,na bado sijatamani kujua hali zao ila wewe! kwa kuwa, nakuthamini nakukujali, ndiyo maana nakutakia, SIKU NJEMA

SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear Read and Write Comments

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bilasababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea PasipoSababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie. Read and Write Comments

SMS kwa mpenzi anayeishi mbali
Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Duniatofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimahaba kwa umpendaye sana
Kama ningeweza kubadili herufi, ningeweka yangu na yakokuwa pamoja Read and Write Comments

Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenyekukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapendewanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa mapenzi wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako siku ya wa pendanao au siku ya valentine
Wewe pekee upo moyoni mwangu, nitaendelea kukupenda sikuzote za maisha yangu! Katika siku hii ya wapendanao, wewendiyo ua la moyo wangu! Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako mpendane
Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. Read and Write Comments

SMS ya kujivunia mpenzi wako
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe. Read and Write Comments
Recent Comments