
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani,Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo karibu yangu.Ni zaidi ya roho iendayo safarini. Read and Write Comments

Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

SMS tamu kwa ajili ya kumtumia umpendaye
“CHAI” bila sukari hainyweki.“ASALI” bila nyuki haitengenezeki.“PETE” bila kidole haivaliki.Na “MIMI” bila ya kukusalimia wala siridhiki! pokea maneno yafuatayo “I LOVE YOU” pokea my lovely kiss “MWAAAAAAA” my best wishes mtumie umpendaekama na mm nimo nirudishie. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenyekukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapendewanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja. Read and Write Comments

SMS kwa mpenzi anayeishi mbali
Ni ngumu kwa watu wawili kupendana wanapoishi Duniatofauti, lakini Dunia hizo zikutanapo na kuwa kitu kimoja,hiyo ndiyo maana ya kuitwa wewe na mimi. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitajikuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapokama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET” Read and Write Comments

SMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpz Read and Write Comments

Ujumbe kwa mpenzi wa kimahaba
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe. Read and Write Comments
Recent Comments