
SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

Meseji ya kumwambia mpenzi wako asiwaze hata siku moja kuwa unawea kumuacha
Asali wa moyo wangu, fahamu kuwa unaweza kuamini kwambamwanga wa nyota unaweza kuunguza nyumba, jua linawezakusimama, lakini usiwaze hata siku moja kuwa nawezakukuacha. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako anavyokukosha na kumuomba asiende kwa mwingine
Hakika nimepata tabibu, maradhi yangu wajua kujyatibu,napenda jinsi unavyonitibu, huna papara yaani ni taratibu,mpenzi usijemuonyesha mwingine hizo zako zabibu, maswahibuyakatayonisibu hakuna atakayeweza kuyatibu, nakupenda Read and Write Comments

SMS ya mapenzi kutakia maisha marefu siku ya kuzaliwa au birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyezi akupemaisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazikwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako unavyompenda na hautarajii kumsaliti
nimeulizwa nmependa nin kwake huyo ninaye mtumia ujumbehuu nami nikajb saf roho yake nzur tabia yake ,majvunohayapo kwake,nkaulzwa je unampenda kwa dhati ?nami nikajibu ndiyo nacpotayar kumsaliti na lbd aanze yeye Read and Write Comments

SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangutabibu ,we ndo wangu wa manani. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako akuache umpende tuu
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET” Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako aache umpende kwa kuwa ni mzuri kwele kweli
Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitajikuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapokama ukiwa mbali “NIACHE NIKUPENDE SWEET” Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa manenolaini yenye ladha adimu, utamu wake ni kamaapple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuleteesalamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kunapokuwa na wanafiki wanaoingilia penzi lenu
Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penziletu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito. Read and Write Comments
Recent Comments