SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako kwake ni la kipekee
Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunianzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langukwako ni nuru daima halizimiki. Read and Write Comments
Meseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtumuhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu Read and Write Comments
Ujumbe wa mahaba wa kumtumia umpendaye kumwambia anahisia gani kuhusu mapenzi
mapenzi ni hisia zilizopo moyoni mwetu,hujidhihirishe paleunapopata umpendaye,utamu wake ni zaidi ya sukari uchunguwake ni zaidi ya shubiri je kwako yapo je? Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake
Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kamanyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza. Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako anayekujali
Kumjali mtu ni rahisi, lakini kumfanya mtu akujali nivigumu, nashangaa umewezaje kunifanya nikujali? Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumwambia mpenzi wako ajiepushe na vishawishi
Najua kuna vishawishi vingi sana uko ulipo, lakini nikiwamoyoni mwako, siku hii itakuwa nzuri zaidi kwetu,tupendane daima lahaziziโฆ Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako kunapokuwa na wanafiki wanaoingilia penzi lenu
Wanafiki tusiwaombee kifo daima na milele washuhudie penziletu linavyozidi kukua,na tunavyopambana na mapito. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa utazidi kumpenda hata kama watasema mengi juu yake na juu ya mapenzi yenu
Hata kama watasema mengi kiasi gani, kwako wewenitaendelea kuwa mpole, maana nakupenda sanaโฆ Read and Write Comments
SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku
Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu. Read and Write Comments
SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyonimwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wakodaima, nakupenda dearโฆ Read and Write Comments








I’m so happy you’re here! ๐ฅณ











































































Recent Comments