Siri za mafanikio na Jinsi ya kufanikiwa
Tafuta fursa kila kona.Tumia kipaji chako.Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ya pesa, ...
Ujumbe wa leo kwa mtu anayetaka kufanikiwa katika maisha kiuchumi
Kila mtu aliyefanikiwa ukifuatilia historia yake pengine unaweza kukata tamaa kabisa Na kusema ...
JINSI YA KUTENGENEZA BATIKI
Batiki inatengenezwa kama ifuatavyoMAHITAJI:1.Vibanio vyenye urembo mbalimbali.2.Sponji zenye ...
Jinsi ya kutengeneza mishumaa
MALIGHAFI ZINAZO HITAJIKA WAKATI WA UTENGENEZAJI WA MISHUMAA.1. Paraffin Wax2. Utambi3. Mould ( ...
Salamu za kuaga mwaka na kukaribisha mwaka mpya
Mwaka umefika mwisho, zimebaki siku tatu tukuingia mwaka mwingine lakini yapo menginiliyojifunza ...
LISTI YA FURSA ZA BIASHARA NA MIRADI
Karibuni;1. Kununua Mashine za kukoroga zege nakukodisha.2. Kununua Mashine za kukata vyuma ...
USHAURI WANGU ANZA KUAJIRIWA KAMA MUWEKEZAJI TU ILI UJIAJIRI NA KUAJIRI WENGINE
Kwa lugha nyepesi ni kwamba ukiajiriwa maana yake umeshindwa kujitegemea kwa ujuzi wako (yaani ...
AMINI UNA AKILI YENYE UWEZO MKUBWA WA KUBUNI WAZO LA KUWEZA KUKUSAIDIA KUFANIKIWA KIMAISHA
Huwa nikikaa na kufikiri ni namna gani binadamu aliweza kubuni ndege, meli kubwa hasa za mizigo, ...
Umeshawahi kufanya hili jaribio?
kadri temperature inavyo ongezeka chura nae huwa ana increase temperature ya mwili wake..pindi ...
Ujumbe kwa leo
Kuna baadhi ya LEVEL huwezi kufikaKuna MAFANIKIO huwezi kuyafikiaKuna HELA huwezi kuzipataKama ...
Angalia jinsi maamuzi yako ya jana na ya leo yanavyoweza kukuathiri
Nimeitoa kwa Comrade Markus Mpangala na kuitafsiri kwa Kiswahili (kisicho rasmi sana).Mwaka 1998 \ ...
Ushauri wangu kwa leo: Zingatia hili, hamasika, badilika
Tupo kwenye dunia ambayo tulikuta watu na tutawaacha watu.Vyote tulivyovikuta vilianzishwa na ...
Hii ndio sababu kwa nini huwezi kufanikiwa kibiashara
HUWEZI KUFANIKIWA KIBIASHARA KAMA UNAPENDA KUJIHURUMIA HURUMIA!💥Mama mmoja Mzungu alitembelea ...
Ugumu wa maisha huanzia akilini mwako
Ebu fikiria Dada anayechoma mahindi maeneo ya Manzese Darajani kuanzia saa 12 jioni mpaka SAA 2 ...
Ushauri wangu kwa leo
Kuna watu wengi sana huwa wanani-challenge ninaposema kwamba ni muhimu sana mtu kuishi katika ...
UJASIRIAMALI NA CHANZO CHA MTAJI
UJASIRIAMALINi uthubutu au ujaribu wa ufanyaji washughuli yoyote halali na kupitia shughulihiyo ...
UKWELI KUHUSU MSHAHARA
1. Epuka kugeuza mshahara wako kuwa mali ya ukoo. Kamwe mshahara wako siyo mali ya ukoo. Siku ...
Je, Wewe unayesoma huu ujumbe una ndoto?
KILA mtu duniani ana ndoto ingawa haijalishi ni ndoto gani uliyonayo.Ndoto uliyonayo ina thamani ...
Mbinu 5 za kukunufaisha maishani
Mbinu 5 za kukufanikisha maishani Unaweza ukawa upo kwenye hali ya kulalamika maisha yako ni ...
Jipe moyo kamwe usikate tamaa
Nilikuwa naangalia mpira wa miguu katika uwanja washule.Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya ...
Kushindwa au vikwazo sio sababu ya kutofanikiwa
\"Nilibakwa nikiwa na miaka 9 lakini leo mimi ni mmoja wa wanawake wenye ushawishi mkubwa\"- ...
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍🏽Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ...
Elimu ya biashara
Jifunze kujikagua, jifunze kujiuliza je hapa ndipo napotakiwa kuwa? Usifurahie tu kwamba upo hapo ...
Jiwekee Utaratibu utakaokuwezesha kuamua vizuri juu ya fedha utakazopata
Jiwekee utaratibu utakaokupa uzoefu wa kuamua vizuri juu ya fedha unazopata. Watu tumekuwa ...
Ilinde ndoto yako
Ndoto ni nini?Ndoto ambayo tunakwenda kuizungumzia sio ndoto unayoota ukiwa umelala ni ndoto ya ...
Kukataliwa ni mtaji
Hakuna mtu duniani ambaye hajawahi kukutana na hali ya kukataliwa. Yaani kukataliwa katika hali ...
Wewe ni mshindi: Mambo yakuzingatia ili uweze kushinda chochote katika maisha
Mshindi ni mtu aliyeshinda, Hivyo wewe ni mshindi kwa kuwa umeshinda, kuwa hai leo ni ushindi, ...
BADILIKA : huu ni mwaka mpya
**Badilika huu mwaka. Kipenga kimeshapulizwa wenye mbio zao wameshatoka, wewe bado uko kitandani ...
JITAMBUE : Maisha yako ya kesho hayalingani na maisha yako ya jana, Anza sasa
THERE IS NO FUTURE IN THE PAST.** Ukitaka kufanikiwa usiangalie nyuma yako kunanini na ulishindwa ...
Una thamani gani?
Kazi au shughuli unayoifanya ina thamani gani kwa wengine?unawasaidia au unawaumiza??Biashara ...
Jaribu kufikiria haya
1. Uelekeo ni muhimu kuliko kasi. Ni heri kwenda taratibu katika Uelekeo sahihi, kuliko kwenda kwa ...
Angalia utofauti wa mawazo ya maskini na tajiri
Maskini hudhani utajiri ni chanzo cha matatizo.Tajiri hudhani umaskini ni chanzo cha matatizo ...
Ni vizuri kujua haya
👉🏿Degree au vyeti ulivyo navyo haviwezi kukupa mafanikio.👉🏿Uzuri ulio nao hauwezi kukupeleka ...
Mambo ya kufanya mwezi Disemba
Ikiwa leo ni tarehe **1/12 huwezi amini kuwa hakuna tarehe 1 nyingine tutakayoiona ya mwaka huu ...
Wazo mbadala kuhusu ajira au kupata kazi
Katika mambo ambayo nadhani nimeshawahi kujidanganya ni kufikiri kwamba nikipata kazi ndiyo ...
Jinsi Muda Unavyopotea, Jifunze kitu hapa
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa ...
Kwa nini watu wanapenda pesa
Watu wengi tunapenda sana Pesa lakini hatuko tayari kuzifanyia Pesa kazi nikiwa na maana kutumia ...
Siri 39 za kuwa Milionea, Jinsi ya kupata pesa na kuwa tajiri
1. Tafuta fursa kila kona.2. Tumia kipaji chako.3. Kuwa na nidhamu katika fedha - matumizi mazuri ...
Elimu tuu haitoshi kukunufaisha maishani na kukupa mafanikio
✍🏽Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ...
Nini kinachokufanya udhani utashindwa sasa?
Kwa mujibu wa Biologia, baada ya tendo la kukutana kimwili takribani mbegu milioni 200 hadi 300 ...
Kukosa hela sio tatizo bali ndio kigezo ya kutafuta hela
Ukimonyesha mtu fursa akakwambia hana hela mwambie hiyo ndio sababu ya wewe kumonyesha fursa ili ...
Unashangaa kwa nini hufanikiwi?
Sikia haihitaji ukalishwe chini ndo uelewe, Ukweli ni kwamba unajishughulisha Sana na mambo yasiyo ...
Jifunze kitu kupitia kisa hiki cha boss na mwajiri wake
Duna Lawrence (78) ni raia wa Togo ambaye alijitosa kwenda nchini Ujerumani kutafuta maisha ...
Kwa ushauri huu jitambue upate mafanikio
Ukiona unalala masaa 9 wakati Donald Trump analala manne tu. Afu unaamka huna nauli na bado kesho ...
JITAMBUE: Kipi hauna kati ya pesa na muda?
Watu ambao hawana pesa ila wana muda wa bwerere. Hawajui thamani ya muda. Hawa ndo wale ambao ...
BADILIKA: Anza kupiga hatua ya maendeleo sasa
Ili kutoka hapo ULIPO uweze kwenda HATUA inayofuata kuna SWALI muhimu sana unahitaji kujiuliza ...
Kauli 10 za mtu ambaye unatakiwa umuepuke maishani
Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu1)Sina mtaji2)Sina Connection3)Nitaanza rasmi kesho4 ...
Jielewe, kipato chako kinakusaidia nini?
Ukitaka kuwa tajiri,hiki ndio kitu pekee unacho hitaji kukijua na kukifanyia kazi.Matajiri wote ...
Ujumbe kwako wewe mwajiriwa au uliyejiari
Kama umeajiriwa au pia umejiajiri ni mojawapo ya njia zinazokuingizia kipato maana wengi wanaanzia ...
Usiruhusu tabia hii itawale akili yako
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani, hakuna ...
Kanuni ya fedha ya matumizi na mipango ambayo itakusaidia ukiifuata
Jifunze kanuni za fedhakama ilivyoainishwa hapo chini.Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika ...
Hichi ndicho unatakiwa uwe nacho kulingana na umri wako
20 - 25 =Iwe kama ni kielimu hujafikia malengo yako,sitisha mara moja tafuta kazi/biashara ya ...
Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu
Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu ...
Uhusiano uliopo kati ya pesa na muda
Bila shaka upo uhusiano mkubwa kati ya pesa na muda..-Ndio maana nauli ya ndege ni kubwa kuliko ya ...
Angalia jinsi muda wako unavyopotea
Kila mtu ambaye ni hai amepewa muda Wa masaa 24 kila siku,168 kwa wiki,672 kwa mwezi,8064 kwa ...
Njia 8 za kupata mtaji kwa ajili ya Biashara yako
Njia hizo ni kama ifuatayo!! 1. Mtaji mbadalaTunapozungumzia mtaji mbadala hapa tunamaanisha ni ...
Mizigo tuliyoibeba ambayo haina faida
1.💥Umejipa jukumu la kuwa \"mpelelezi\" wa maisha ya wengine na umesahau maisha yako.2.💥Umebeba ...
Nia yako isishindwe
Nimejifunza jambo kubwa sana ambalo sote tuna lijua nalo ni “NIA”.Nimemtazama ...
FUNZO: Maisha ni kuchagua
Siku hizi kuna tangazo moja la kampuni ya simu za mikononi, Tigo, likimuonesha mama akiwa _busy_ ...
Usiyoyajua kuhusu pesa haya hapa
Habari za Leo Rafiki yangu wa Muhimu sana. Ni furaha yangu kujua unaendelea vyema sana na majukumu ...
Hofu inavyo tugharimu katika safari ya ujasiriamali na Jinsi ya kuiepuka
Wengi wetu tunapenda Mafanikio, tunapenda kufika mbali tunapeda kuwa kama Mengi siku moja.Tunavyo ...
Sababu inayopelekea kushindwa kuishi maisha ya ndoto zako
1. Hauko Tayari kuthubutu na kujiunga2. Kutokujiamini3. Kutopata sehemu sahihi ya kupata ushauri4. ...
Njia nzuri ya kufanikiwa katika maisha
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mtu anayejenga GHOROFA na yule anayejenga Nyumba ya KAWAIDA ...
Kuwa na kawaida ya kujiwekea Akiba ni njia na Siri ya kuwa tajiri
Watu wengi wanajiuliza, “Siri ya utajiri ni nini?”Je ni mbinu gani zinaweza kumsaidia mtu kupata ...
Dunia haijali mazuri yako ila ubaya wako, jiamini songa mbele
Hivyo, hili ni somo kwenu:`\"Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini ...
FURSA HAIJI MARA MBILI: Jinsi unavyoweza kupata faida au hasara ukitumia Nafasi au fursa uliyonayo
Kwenye maisha fursa moja tu inatosha kabisakubadilisha hali yako ya sasa na kukuweka kwenyekiwango ...
Hii ndio inaitwa mbinu ya biashara
Anakuja Mchina anasema anahitaji Paka🐈,ananunua mmoja kwa bei ya 20,000/=, basiwanakijiji wanahaha ...
Tabia za kuepuka ili uweze kuwa tajiri
\"Umasikini hauji kwa bahati mbaya kama ubaguzi wa rangi au ukoloni, umaskini hutokana na matendo ...
Siri ya mafanikio katika maisha: Usiangalie watu
Waziri mkuu wa zamani wa uingereza Sir Wiston Churchill aliwahi kusema“huwezi kufika mwisho ...
Jifunze kupitia mfano huu Ili uishi kwa amani na watu
Siku moja nilichukua taxi aina ya UBER nikiwa naelekea uwanja wa Ndege Mwl. Nyerere Dereva huku ...
Mambo 13 katika pesa ambayo unapaswa kuzingatia
1. Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara.Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate ...