SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwadhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyonimwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushikadaima. Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtumia mume wako
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako. Read and Write Comments
SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema
Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.
Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.
Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.
Kitale katikati yake ukila utaridhika.
SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako aliyekuacha kumuomba akurudie
ni bora mnara ukitikisika kuliko kupata pengo lisilozibikamoyoni umeniachia jeraha lisilotibika na ufausiozibika.rudi mpenzi unautesa mtima wa moyo wangu. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi
maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini nimakubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.inaniuma sana Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe
Ni yangu mazoea kila cku cm yakokuipokea kama si mesejikunitumialeo naumia kila napo fikiria ninikimetokea hadimawasiliano yetuyameanza kupotea,sawa tu.naamini haliya kawida itarejeanamajonzi moyoni yatanipoteanakupenda mpz Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bilakukupenda wewe. Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?
SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments








I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments