SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia mpenzi wako usiku mwema
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia,fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu,fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japokwa kukutumia sms mpenzi wangu,Nakutakia usiku mwema Read and Write Comments
SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi
Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
“Ni Waridi pekee”
sio Miti yote Hustawi Jangwani
“ni Mtende pekee”
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha
Meseji ya usiku mwema kwa umpendaye
Ckia ckupend, cktaki na wala ckhitji tena ww ni kikwzoktka maisha yangu ucnizoee! Mwmbie shtan maneno hya kablahjalala. g9t Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema
“””””Yule”””””Anipendezae lazima nimkumbuke””“”nimpe salamu “”moyo””wangu “”uridhike””“”Nimuombee kwaMWENYEZI “”MUNGU”” mabaya yamuepuke””“”na kila lililo la kheri kwake lisiondoke””“”nakutakia””“ucku mwema” Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa bado unampenda na hujabadilika
“Japokuwa” “Kuku” “Haogi” “Yai” “Lake” “Litabaki” “Kuwa” “Jeupe” “Tu” “Namaanisha” “Kuwa” “Hata” “Kama” “Ukiona” “Nipo” “”KIMYA”” Muda” “Mrefu” “”UPENDO”” “Wangu” “Kwako” “””Bado”””
Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwishoakunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema Read and Write Comments







I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments