SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ni wa kipekee na utampenda daima
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahabayako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokeaamini. Elewa mimiwako sikuachi asilani Read and Write Comments
Ujumbe wa kuasa kuhusu upendo wa kweli
Rafiki wa kweli hudhaminiwa kama familiaPendo la kweli humaanisha, kupenda kweliKumlinda, kumjali, kuvumilia na kusameana Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa upo tayari kumvumilia
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha namaumivu yake ndani yangu. Read and Write Comments
Meseji ya kutakia usiku mwema
Usiku Ni “utulivu”Usiku Ni “mzuri”Usiku Ni”upole”Usiku Ni “kimya”Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a! Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa wewe ndiye unayempenda wa kwanza
โฅWatu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamukusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Hurumahuoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosahusameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kilajambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendohuambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njiaza mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!naini mmoja katia ya wakupendao,hakika nimm wa kwanza kwanza wengine wanafataโฅ Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtumia umpendaye kumwambia unavyompenda na kumridhia
Siku zote kwangu ni sherehe ni wewe unishereheshaye,ukweliusio na kejeli mapenzi yako yanatii kiu yangu,moyonimwangu nimeridhiaโฆ .nakupenda daima mpenzi! Read and Write Comments
Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa kmmfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho. Read and Write Comments
SMS ya kumuonyesha mpenzi wako unavyompenda
natamani usaini moyoni mwang,ikiwezekana pia upige muhuri moyoni mwangu wajue nan mmiliki wa huo moyo wenye shibe upendo kwaajili yako mpenzi Read and Write Comments
Ujumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi
Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,ANAKUJALI na,ANAKUTAKIA mafanikio mema Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kimahaba ya salamu kwa mpenzi
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa manenolaini yenye ladha adimu, utamu wake ni kamaapple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuleteesalamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! ๐ฅณ














































































Recent Comments