SMS ya kujivunia mpenzi wako
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe. Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijutenakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz Read and Write Comments
SMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano
macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjua. Read and Write Comments
SMS ya kumuomba mpenzi wako asiondoke asikuache
Nakuomba usiondoke, bali ubaki namiKwani wewe ndiye kamilisho la maishaYangu kwa sasa na siku za usoni Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata. Read and Write Comments
SMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments
Ujumbe mtamu wa mapenzi
Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa akupendae kwa dhati. Nakupenda mpenzi wangu. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima. Read and Write Comments
Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenyekukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapendewanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja. Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments