Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambomazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi wa kumweleza mpenzi wako kuwa anaweza asijue jinsi gan unavyompenda lakini ni kweli unampenda sana
Unaweza usione kamwe ni kwa kiasi gani ninavyokujali.Unaweza usisikie ni kwa kiasi gani nilivyokushiba, unawezausihisi namna gani ninavyokukumbuka. Sababu ni moyo wangutu uliyoyaficha hayo. Read and Write Comments
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutamankukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ilamwili wangu upo kwa ajili yako dear Read and Write Comments
Meseji ya kumuomba mpenzi wako akwepe fitina kwani unampenda sana
Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutendampz, nakupenda tukwepe fitina mpz. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kwamba hufikirii kumsaliti
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwamba
wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu
tabasamu
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear… Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tuUzuri wako sio sababu ya mimi kukupendaIla nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika. Read and Write Comments
Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments












I’m so happy you’re here! 🥳













































































Recent Comments