
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako wa kike kumsifia na kumwambia unavyompenda
mahakama ya upendo iliyopo mtaa wa busu imenihukumukufungwa kwenye gereza la moyo la mcchana huyo milele kwakuutesa mtima wa moyo wa mcchana mmoja ,asiye namashauz,mwenye wing upendo ,maneno matamu ,mahaba ya dhatna mapenz mazito zito, Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
ewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear! Read and Write Comments

SMS nzuri kwa mpenzi wako
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz nizawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lakolimezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lakohaliwezi futika.NAKUPENDA Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumuuliza mpenzi wako kama anakupenda kweli kwa moyo wake wote
Mapenzi mazuri yanasifa zifuatazo, kuridhishana, kupeanabila kubaniana, kubusiana, kuheshimiana, kujaliana, kusubiriana, kusikilizana. je utaweza kunifanyia yote hayo? nijibu mpenzi. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu
Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha! Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wa
kushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi wa
upendo na kiherehere cha kuabudu.

Ujumbe wa kimahaba kumuomba mpenzi wako asichoke kuwasiliana na wewe kwa kutumia simu
Simu huboa wakati mwingine, kwani ni lazima ufungue mesejina kuzisoma, kuichaji simu kila mara, lakini usichokekwani ndiyo inayotuwezesha tuwasiliane Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear Read and Write Comments
Recent Comments