
SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutamankukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ilamwili wangu upo kwa ajili yako dear Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini KukupendaWewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana Read and Write Comments

SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA Read and Write Comments

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao

SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako? Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwamba
wewe ndio chaguo langu, ubavu wangu
tabasamu

Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumsifia mpenzi wako
Uzuri wako hung’ara kuendana na matendo yako,Ushupavu, upole, ujasiri na uchambuzi wa kweli,kwa yote yajayo mbeleni mwako. Read and Write Comments
Recent Comments