SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye
Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu.
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako jisni anavyokuchanganya kwa unavyompenda
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tunitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kilanikijitahidi unaipoteza akili yangu Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langunakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi kumwambia umpendaye kuwa hutomsahau na kumuomba asikusahau
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini simtumaji. Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyesahau kuwasiliana na wewe kumkumbusha awasiliane na wewe
Ni yangu mazoea kila cku cm yakokuipokea kama si mesejikunitumialeo naumia kila napo fikiria ninikimetokea hadimawasiliano yetuyameanza kupotea,sawa tu.naamini haliya kawida itarejeanamajonzi moyoni yatanipoteanakupenda mpz Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia umpendaye kuwa ni pengo lisilozibika milele kwa hiyo asikuache
nikipoteza kitu cha thamani nitauzunika nitasahau ilanikikupoteza wewe ni pengo lisilozibika kamwe. Read and Write Comments
SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,ย
Meseji ya kumuaminisha mpenzi wako kuwa unampenda
upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa hayanisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo Read and Write Comments
Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! ๐ฅณ














































































Recent Comments