
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?

SMS ya kimahaba kwa mpenzi wako kumwambia unampenda sana hutaki hata sekunde ipite bila kumpenda
Kama mapenzi huweza kukimbiwa kwa kufumba macho yetu tu,basi nisingefunika macho kabisa. Sitaki sekunde ipite bilakukupenda wewe. Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah. Read and Write Comments

Meseji ya kutakia usiku mwema
Usiku Ni “utulivu”Usiku Ni “mzuri”Usiku Ni”upole”Usiku Ni “kimya”Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a! Read and Write Comments

SMS ya shukrani kwa mpenzi kumshukuru kwa kukupenda
moyo wangu saafi kama upole wa tausi wingi wa baridi kama maji ya mtungi ,yote ni kutokana na mapenzi unayonipatia. ASANTE KWA KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako jinsi unavyompenda
sioni zawadi ya kukupatia kwa mapenziunayonipatia,moyoni nimekuridhia wewe pekee penzi langu daimakukupatia nakupenda Read and Write Comments

Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
“Ni Waridi pekee”
sio Miti yote Hustawi Jangwani
“ni Mtende pekee”

SMS nzuri ya kimahaba kueleza kuhusu penzi
penzi linaweza kuelezewa kwa namna nyingi. Namna mojaniijuayo nikumtumia mapenzi hayo mtu asomaye meseji hii Read and Write Comments

SMS kali ya kumtumia mpenzi wako usiku
Ukilala Lala Salama Kumbatia mwili wangu Kama ukinikumbuka Sana Nipigie Kupitia Sim Yangu Matatizo Chuki Lawama Vumilia Mpenzi Wangu. Read and Write Comments

SMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwadakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo Read and Write Comments
Recent Comments