Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu
Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha! Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako wakati unaenda kwake
nipe niridhike,nionjeshe usinilambishe,nikigonganikaribishe na penzi le2 2listawishe. Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! Read and Write Comments
SMS nzuri ya kimahaba kumwambia mpenzi wako jinsi unavyotamani uwe naye kila sehemu na kila wakati
Kila unachokifanya natamani niwepo, nikitumainia kilandoto yako itimie kila muda na sehemu, niwepo nikikutakiamafanikio mema kwasababu nakujali. Read and Write Comments
SMS ya kumtakia sweet wako usiku mwema
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako,
naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako? Read and Write Comments
Ujumbe wa Kimahaba wa kumwambia mpenzi wako upo tayari hata kumpa maisha yako
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia nimajani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangubure. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako
Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko nafuraha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha maranyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapakukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtuanayekujali. Read and Write Comments







I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments