Ni kijarida cha SMS za Kumsifia Mpenzi wako ajisikie wa Thamani na anapendwa
Kitabu cha SMS 10 Nzuri za Kumsifia Mpenzi wako Ajione wa Kipekee
Original price was: Sh2,000.Sh0Current price is: Sh0.
Je unataka kumsifia Mpenzi wako? Unataka mpenzi wako ajione wa thamani? Leo umerahisishiwa kupitia kitabu hiki cha SMS za Kusifia.
SMS hizi zinaweza kuimarisha mausiano yako. Kwa kutumia kitabu hiki utaweza kumfanya mpenzi wako ajisikie kuwa anathaminiwa na ni wa kipekee sana.
Kwa kutumia SMS hizi wengi wameweza kuimarisha Mahusiano yao. Wasomaji wengine wamesema kupitia SMS hizi wameweza kunogesha penzi lao na kuongeza furaha katika mahusiano yako.
Kitabu hiki kipo katika mfumo wa Soft copy [pdf] ambapo unaweza kusoma moja kwa moja kwenye simu yako.
Kwa Leo unaweza kupata kitabu hiki bure kabisa.
Bofya “Click Here to Download” kuchukua. Utaingiza taarifa zako ili uweze kudownload na kuhifadhi/kutumiwa kwenye Email yako.