Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema
“””””Yule”””””
Anipendezae lazima nimkumbuke””
“”nimpe salamu “”moyo””
wangu “”uridhike””
“”Nimuombee kwa
MWENYEZI “”MUNGU”” mabaya yamuepuke””
“”na kila lililo la kheri kwake lisiondoke””
“”nakutakia””
“ucku mwema”
Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa huna linalokuhuzunisha maishani kwa kuwa mnapendana
Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufuayaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yoteyaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangukwa kuwa tunapendana! Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni,naishia kukuota ndotoni,hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tuUzuri wako sio sababu ya mimi kukupendaIla nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni mrembo na kumsihi asikuache
mpnz wangu ninavyo jua mm huwezi kutupa mawe kwenye mtiusiokuwa na matunda mazuri maana hivyo basi tambua ww nimrembo xanandani ya moyo wangu usiniache pekeyangu kwanina kupenda xana tabua hilo mpnz wangu Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda
Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kuwa yeye tuu mdiye kakutawala
Fikra hutawala mtima wangu,Kwa madhila yalojaa duniani,Kwa muhali wa yanayojiri,Kwa machweo na mawio,Kwa totoro ama nuruni,Nao moyo hukosa ukamilifu,Kwa utashi wa zake hisia,Zinipazo sababu kuu,Ya upendo juu yako,Ya kukufanya daima uwe,Mawazoni mwangu. Mawazoni ama ndotoni,Daima wewe hutawala,Kila asubuhi niamkapo,Nao usiku nilalapo,U chakula changu akilini,Nalo tulizo langu moyoni,Daima huuwaza upekee,Wewe uliojaaliwa,Na hivyo naihisi furaha,Daima wewe uwapo,Mawazoni …
Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kuwa yeye tuu mdiye kakutawala Read More »
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa ulimpenda tangu siku ya kwanza na utazidi kumpenda
nilivyokutana nawe siku ya kwanza nilikupenda kwadhati,nikakueleza ukweli ukanikaribisha moyonimwako,siwezi kuchezea nafasi hiyo laaziz,nitakushikadaima. Read and Write Comments
Ujumbe mtamu wa mapenzi
Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa akupendae kwa dhati. Nakupenda mpenzi wangu. Read and Write Comments







I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments