Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako penzi lake ni tamu sana
utamu wa penzi hunogeshwa na pendo la dhati pia utamu wapenzi ni uwepo wangu na wako,ladha yake ni zaidi ya nazikwenye wali au royco kwenye mchuzi au pilipili kwenyekachumbari, utamu wake ni zaidi ya asali au jam kwenyemkate ,blueband kwenye uji.penzi tamu halina kifani Read and Write Comments
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Read and Write Comments
Ujumbe kwa mpenzi kumuonyesha unavyompenda
Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mkeo mtarajiwa kumsifia alivyoumbika
Kila nikuonapo napata weweseko, yako miondoko si ya kitotona zaidi wajua kuweka mikogo, umeumbika si kitoto,nahitaji uwe wangu mama watoto! Read and Write Comments
Ujumbe wa salamu kwa mpenzi kumjulia hali
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi? Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako kumwambia anayo sehemu yake ya kukaa kwenye moyo wako
Naweza kuishiwa ujumbe wa kukutumia. Naweza kuishiwa utanipia. Naweza kuishiwa chaji lakini moyo wangu hauwezikukosa nafasi ya kukuweka. Read and Write Comments
Meseji ya kutakia usiku mwema
Usiku Ni “utulivu”Usiku Ni “mzuri”Usiku Ni”upole”Usiku Ni “kimya”Lakini UsikuHaujakamilikaBila..KukutakiaWewe..USIKU=m=w=e=m=a! Read and Write Comments
SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia unavyomtamani
macho yang hutaman kukuona,mdomo wang hutamankukubusu,mikono hutaman kukutomasa,uko mbali nami ilamwili wangu upo kwa ajili yako dear Read and Write Comments
SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu. Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ndiye mwanamke pekee mwenye sifa za kuwa mwanamke
Mwanamke ni yule amfanyaye mwanamme auhisi uanaume wake,wewe ni mwanamke mwenye sifa hizo. Read and Write Comments











I’m so happy you’re here! ๐ฅณ













































































Recent Comments