
SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu. Ndilo sababu ya nguvu yangu. Tangulia pembeni mwa macho yake. Asubuhi hii hadi usiku ujao

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japoย

SMS ya kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali
sura yako haifutiki usoni mwangu kirahic,ingawa upo mbalnami lkn penzi lako bado nalikumbuka,hakuna anayewezakukata kiu yangu zaidi yako,nakupenda mpenzi wangu! Read and Write Comments

Meseji ya kumwambia mpenzi unampenda peke yake
mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,mapenzi ni raha kamwe cwezkuipeza,nakupenda wewe pekee Read and Write Comments

Ujumbe wa kimahaba wa kumtumia mpenzi wako aliyeko mbali na wewe kumwambia unavyommisi
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda,macho nayaangaza,taratibu navuta shuka na kujitanda,mishumaa pembezoni inaniangaza,mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosani joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda! Read and Write Comments

Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anatakaโฆ .upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpz Read and Write Comments

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza
Nakupรฉndรค mpรจnzi wรจwรจ รนnรฅumuhimu mkubwa kwenye maishayangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalohalitapona .nakupenda sana Read and Write Comments

SMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwadakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo Read and Write Comments

SMS ya ujumbe wa kimahaba wa kifumbo kwa mpenzi wako
Kila mtu anataka kuwa jua linalongโarisha maisha yako,lakini ni afadhali niwe mwezi, ili nikuangazie wakati wagiza ambapo jua limechwea na haliangazi tena. Read and Write Comments
Recent Comments