
SMS nzuri ya salamu kwa mpenzi wako
Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi

Ujumbe mtamu wa mahaba kwa umpendaye kumwambia maana ya upendo
upendo ni jibu kwamba kila mmoja anataka… .upendo ni lugha ,kwamba kila mmoja anaongea,upendo hauwez kununuliwa,na icyo kadirika na ya bure,upendo kama uchawi safi,nisiri ya maisha matamunakupenda mpz Read and Write Comments

SMS ya kumwabia mpenzi wako kuwa unampenda sana
Niseme nini ujue nakupenda? Nifanye nini ujue nakupenda? Nikuite jina gani ujue ni wewe peke yako upo moyoni mwangu? Hakika hakuna ila moyo wangu ndio unaosema kuwa nakupenda, niamini mpenzi Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako anayesikitika au anayelia
ewe kwangu ni kila kitu,sipendi kuyaona machozi yako mpenzi wangu!Sogea nikufute na unirudishe tena mikononi mwako,nakupenda sana dear! Read and Write Comments

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Nitaenda mbali Zaidi ya maono yako
Safarini nitajenga hekalu la pendo letu
Nitapuliza filimbi kama ishara ya utambulisho wako

Meseji nzuri ya kumtumia laazizi wako kumwambia jinsi unavyompenda
naukunjua moyo wangu huishi milele maishani ,nafunguanafsi nikupende wewe pekee,nafunga milango ya moyo wanguilikutokupokea ugeni wowote wa moyo zaidi yakompenzi.nakupenda sana laazizi Read and Write Comments

Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
“Ni Waridi pekee”
sio Miti yote Hustawi Jangwani
“ni Mtende pekee”

Ujumbe wa mapenzi kwa umpendaye kwa dhati
Nakupenda usiku na mchanaNakuwaza siku zote za maisha yangu Read and Write Comments

SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako yeye ndiye yupo kwenye ubongo wako
Bongo zenye fikra kali huwa na mawazo, suluhu na sababu;ubongo wa kisayansi huwa na kanuni, nadharia na takwimu;wangu una wewe tu! Read and Write Comments

SMS kwa mpenzi kumwambia unampenda kwa moyo
unaweza ukafunga macho kwa usilolitaka kuliona lakinihauwez kufunga moyo wako kwa Unalo Lipenda. NakupendaMpenzi Read and Write Comments
Recent Comments