
SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema Read and Write Comments

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako sifa za pendo la dhati
pendo la dhati lina sifazifuatazo,kuvumilana, kusubiriana, kujaliana, kushauriana, naLa Mwisho Ni Mimi Na Wewe. Read and Write Comments

SMS nzuri sana ya Kimahaba
Nimekuapata! Kama unanichukia, nipige mshale, lakinitafadhali si moyoni sababu hapo ndipo wewe ulipo. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments

SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,

Ujumbe wa kuasa kudumu katika upendo na mapenzi
Hii ni mbegu bora inaitwa UPENDO ipande kwa ndg zako,na pale utakapokuta imeota imwagilie maji ya FURAHA,iwekee kivuli cha USHIRIKIANO, ipalilie kwa jembe la KUSAMEHE, iwekee mbolea ya AMANI, ipige dawa ya NENO LA MUNGU, itakayoua wadudu wote waharibifu kama ubinafsi, chuki, wivu, dharau, unafki, kiburi, choyo, tamaa na fitna kwenye mmea huu, MMEA HUU …

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapotambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupoanayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudanitambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hatakm upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele! Read and Write Comments

Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo

SMS kali ya kimahaba kumwambia mpenzi wako unavyoogopa kwa kuwa unampenda sana
Mpenzi kwa mara ya kwanza nilipokuana niliogopa kukuambia,hata nilipokuambia niliogopa kukupenda, nilipokupenda sasanaogopa mno kukupoteza. Kusema kweli siko tayari kukukosakatika maisha yangu. Read and Write Comments
Recent Comments