
SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako mlioachana kumwambia hakuwa sahihi
maumivu ya kulipoteza penzi lako ni kubwa, lakini nimakubwa zaidi baada ya kugundua haukuwa yule nileyedhani.inaniuma sana Read and Write Comments

SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,

Ujumbe mzuri wa kumuomba mpenzi wako asikuache
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU” Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako asijute kukupenda kwani unampenda
Kipepeo kipeperushe kunipenda maamuz yako kamwe usijutenakupenda mpz moyoni mwako unitulize.Nakupenda mpz Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako unampenda
Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu. Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumwambia mpenzi wako asichoke kukupenda
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifananinachochote kwenye huu ulimwengu, sina budikumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejalihisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kwamba hufikirii kumsaliti
Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu Read and Write Comments
Recent Comments