
SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako kumuonyesha unavyompenda
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yangu usikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee, lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenyekukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapendewanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja. Read and Write Comments

Ujumbe wa kutuma kwa mpenzi wako ajione mwenye thamani kubwa
Wewe ni mng’arao machoni mwangu;Tabasamu la midomo yangu;Furaha ya uso wangu;Kwa sababu bila wewe, mimi sinajipya. Read and Write Comments

SMS ya kimahaba kumueleza mpenzi wako maana ya mapenzi, Mapenzi ni nini?
Mapenzi ni nini? Wale wasiopenda huita majukumu, walewanaoyachezea huita mchezo, wale wasiokuwa nayo huitandoto, na wale wanaoelewa huyaita mwisho wa safari, namimi, mwisho wangu ni wewe. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi kumwambia kuwa yeye ni mmoja tuu katika maisha yako
Kuna miezi 12 katika mwaka…siku 30 katika mwezi…siku 7katika wiki, masaa 24 katika siku…dakika 60 katika saa……lakini wewe ni mmoja tu maishani mwangu. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya. Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako unayempenda sana
Napenda Kuiga Na Kujifunza Nisivyovijua Lakini KukupendaWewe Siwezi Kuiga Wala Kujifunza. Nakupenda Saaana Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako unampenda
Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani. Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu. Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi. Nakupenda sana Dear Read and Write Comments

SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Recent Comments