
SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wanguKitulizo cha moyo wanguKwenye shida na rahaWewe ni sehemu ya maisha yangu milele Read and Write Comments

Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz Read and Write Comments

Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata. Read and Write Comments

SMS ya Birthday ya kumtakia mpezi wako heri ya sikukuu ya kuzaliwa
Dear siku zimekaribia, miaka …… utatimiza katika hii dunia,hakika najivunia kupata mpenzi aliyetulia,hongera kwa wako wazazi kwa kunizalia kipenzi,zawadi yangu toka kwangu ni ahadi ya kulienzi lako penzi.Happy Birthday mpenzi. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumhasa mpenzi wako akupende kama unavyompenda
yakumbuke haya sana katika maisha yako wahurumie wenyekukupenda hasa mwenye pendo la dhati kama langu,wapendewanaokupenda japo kwa chembe ya upendo,thamini pendo laakupendae kwa kila mara japo sekunde moja. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi gani umejitolea kwake
Kama ungekuwa kidonda kwenye moyo wangu, ningekiacha na maumivu yake ndani yangu. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumwambia mtu unayempenda unatamani akupende
Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahinikiwa mimi, Read and Write Comments

SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangutabibu ,we ndo wangu wa manani. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. Read and Write Comments
Recent Comments