
SMS nzuri ya kumuomba mtu muwe wapenzi
Ama baada ya salamu, mimi ni mzima wa afya njema. Mie ni ndege nipo angani na nimetafuta mti wa kutua kila pembe ya dunia lakini sijaupata bado. Je naweza nikatua kwako?

Ujumbe mzuri wa SMS wa usiku mwema kwa mpenzi wako umpendaye
Mungu akubariki uwe mwiz wa ujuzi na maarifa, mlafi wakushauri, mroho wa busara, mchoyo wa matusi, mlevi waupendo na kiherehere cha kuabudu.say Amen! Ucku mwemampenzi Read and Write Comments

SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.

SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangutabibu ,we ndo wangu wa manani. Read and Write Comments

Ujumbe wa kimapenzi kumwambia umpendaye kuwa hutomsahau na kumuomba asikusahau
Kukusahau wewe ni ngumu lakini kunisahau mimi ni juu yako.Usinisahau kamwe, unaweza kuisahau meseji hii, lakini simtumaji. Read and Write Comments

Meseji ya kumkumbusha mpenzi wako kuwa unampenda
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbukakuna akupendaye naye ni MIMI!. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kumtumia mpenzi wako kumtakia usiku mwema
“””””Yule”””””Anipendezae lazima nimkumbuke””“”nimpe salamu “”moyo””wangu “”uridhike””“”Nimuombee kwaMWENYEZI “”MUNGU”” mabaya yamuepuke””“”na kila lililo la kheri kwake lisiondoke””“”nakutakia””“ucku mwema” Read and Write Comments

SMS ya kimahaba ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako ni la daima na milele, utampenda milele
Penzi langu kwako ni la milele, nitakuhifadhi moyonimwangu siku zote za maisha yangu, uwe wangu nami niwe wakodaima, nakupenda dear… Read and Write Comments

Ujumbe mtamu wa mapenzi
Pendo la kweli ni hisia zilizomo moyoni ambazo sauyi yake haisikiki isipokuwa kwa akupendae kwa dhati. Nakupenda mpenzi wangu. Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! Read and Write Comments
Recent Comments