Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa hutamuacha
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wangu umeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangu peke yako dear… Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi kumwambia mpenzi wako kuwa umelipata penzi ambalo ndio kutoka kwake tuu
Penzi, maisha yangu yote nimesoma juu ya neno hili,nimeota juu yake, nimelilia, nimelihitaji. Sasa pamojanawe nimelipata. Read and Write Comments
SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letuNdilo sababu ya nguvu yanguTangulia pembeni mwa macho yakeAsubuhi hii hadi usiku ujao Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako unampenda na hauna mpango wa kumuacha
Hata kama nitajidanganya kwamba sikupendi, moyo wanguumeganda kwako na hakuna dalili za kukuacha, wewe ni wangupeke yako dear… Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako umelimisi penzi lake
Mmmh!mpz cjui n kwann nahamu ya kufaid penz lako kiachk,?na taman lait ungekuwa krb yang unipme gonjwa hl naunitibu pia.kwan ww ndiye daktar wa pekee n naye mwamin.Nmemic kila k2 toka kwako nahc nazd kuchanganyikiwa kwaukosef wa penz lako.nakutaman sn wangu laaziz.Nakupenda kipenz cha moyo wangu. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa mnafiti kuwa pamoja
Mvua na jua haviwezi kuwa pamoja, usiku na mchanahazigongani, lakini mimi na wewe, hata wasemaje,‘tunafiti’ kuwa pamoja. Read and Write Comments
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumsihi mpenzi wako asikuchoke na asichoke kukupenda kwani unampenda sana
Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI Read and Write Comments
SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,Kwa sababu NAKUPENDA sana Read and Write Comments
Ujumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi
Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,ANAKUJALI na,ANAKUTAKIA mafanikio mema Read and Write Comments











I’m so happy you’re here! 🥳











































































Recent Comments