
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda yeye tuu
Ingawa mwaka umekwisha, mawazo yangu katu sitobadilisha, amini ni wewe pekee unayenipagawisha, hakika kwa penzi lako kiu yangu katu haitakwisha! Read and Write Comments

Meseji ya kumsifia mpenzi wako kuwa ni mzuri
Swt ulivyoumbika wengi wanateseka juu yako ,najuawanakusumbua ni vema usiwakubalie, ukweli umebarikiwauzuri umeshushiwa na dhati ya penzi umetunukiwa nakupenda Read and Write Comments

Ujumbe kwa mpenzi kumuonyesha unavyompenda
Mapenz hayana msimu walam majira isipokuwa ni kama majani yaotayo popote kwani siyo mimi ni msukumo na hisia zangu. Nakupenda sana Read and Write Comments

Meseji ya kumuomba mpenzi wako aje kwako
Nakupenda sana P tafadhari usinikasirikie, nimekukumbukanahitaji kukuona unipoze moyo wangu, njooo mwandani wangunakusubiri daktari wangu. Read and Write Comments

SMS ya kumkumbusha mpenzi wako yeye ni nani kwako
Kumbuka kuwa wewe ni wangu
Kitulizo cha moyo wangu
Kwenye shida na raha

SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako,Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako,Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako,Kwa sababu NAKUPENDA sana Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa mapenzi kwa mpenzi uliye mmiss
Nina huzuni moyoni sijui kwa kuwa siku hizi sikuoni, naishia kukuota ndotoni, hivi kweli nipo kwako moyoni? Nakupenda

Ujumbe wa Kimahaba wa kumwambia mpenzi wako upo tayari hata kumpa maisha yako
Kama busu ni maji ningekupatia bahari, kukumbatia nimajani, ningekupa msitu. Mapenzi ni maisha ningekupa yangubure. Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako wakati wa usiku
Uamkapo nitakupa langu tabasamuUkweli wa moyo utawale roho yakoKwani macho yako ndo uzuri kwanguNakupenda sasa na milele kipenzi change Read and Write Comments

SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,
Recent Comments