SMS ya kujivunia mpenzi wako
tunda langu laangaliwa hawajui nilipoli chuma,utamu wake maridhawa,hakika utalipenda.si mpi tunda langu mwingine na lila mwenyewe. Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Read and Write Comments
Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. Read and Write Comments
Meseji ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kila unapomtazama
Wanasema mtu huanguka katika mapenzi mara moja, jamboambalo mimi naliona si la kweli kwa maana kilaninapokutazama najikuta nakupenda tena na tena. Read and Write Comments
Ujumbe wa mapenzi kwa umpendaye kwa dhati
Nakupenda usiku na mchanaNakuwaza siku zote za maisha yangu Read and Write Comments
SMS ya mchana mwema kumwambia mpenzi wako aendelee kufurahia mapenzi yako
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu,huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ilimapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU.Mchana mwema Read and Write Comments
SMS ya kumwomba mpenzi wako msamaha unapomkosea
Wewe ni taa kwangu imulikayo gizani,nakupenda sana mpenzi wangu wa moyo,utakuwa wangu siku dear!Kosa nililofanya ni kwa bahati mbaya,naomba unisamehe na ninaahidikutorudia tena katika penzi letu! Read and Write Comments
Meseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu,siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtumuhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha.“NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu Read and Write Comments
SMS ya kumshukuru mpenzi wako na kumwambia kuwa unampenda
nakupenda sana mpenzi wangu ,we ndo wa pekee mwenye kujuafuraha ya moyo wangu nikiwa na majonzi huwa upo karibunami,nikiwa na furaha huja kushea nami,ahsante wangutabibu ,we ndo wangu wa manani. Read and Write Comments
Ujumbe kwa umpendaye kumwambia kuwa sms ni kitu muhimu kutumiana katika mapenzi
Tone la mvua huonekana dogo sana, lakini kwa mwenye kiu hulisubiri kwa hamu kubwa. Sms ni kitu kidogo, lakini huonyesha mahali fulani yupo mtu ANAYEKUPENDA, ANAKUKUMBUKA, ANAKUOMBEA,ANAKUJALI na,ANAKUTAKIA mafanikio mema Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments