
SMS nzuri ya kumtakia umpendaye mchana mwema
Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako wakati anahuzuni kumwambia kuwa uko kwa ajili yake
Nitafute wakati una huzuni, nitafute wakati hamna wakukusikiliza. Sijali kama mimi ni kimbilio lako la mwisho,bali sipendi ulie peke yako. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
“Ni Waridi pekee”
sio Miti yote Hustawi Jangwani
“ni Mtende pekee”

SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo. Read and Write Comments

SMS ya kumuomba mpenzi wako asikuache
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng’aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. “NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU” Read and Write Comments

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia akufanye wa kipekeee
mapenzi ni safari=unifanye nauli ya moyo, mapenzi nimaradhi=unifanye daktari ni kutibu maradhi yako,mapenzi nikiu=niwe maji jangwani,mapenzi ni chakula=nikulishemaishani mwako na uwe asali moyoni mwangu Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments

SMS nzuri ya Sikukuu ya kuzaliwa au Birthday
Happy birthday mpenzi, nakuombea kwa mwenyeziakupe maisha marefu na kukuepusha na maradhi,pongezi kwa wako wazazi kwa kukuzaa mpenzi,nakupenda la azizi. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako kumwambia kuwa hakuna anayemfikia yeye
Baadhi ya watu huzaliwa na vipaji. Huweza kufanya mambomazuri kwa ujuzi wao, lakini hamna anayekufikia wewe,kwani ukinisogelea tu kila kitu huwa kizuri. Read and Write Comments

Meseji ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa yeye ndiye chaguo lako
Nafsi yangu inafurahia ya kwambawewe ndio chaguo langu, ubavu wangutabasamu usoni mwangu ndio siri yapendo lako kwangu Read and Write Comments
Recent Comments