SMS nzuri kwa mpenzi wako
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenz nizawadi,tabasamu,nibusu niambie kiasi ganiunanipenda,naweza kusema asilimia kubwa jina lakolimezunguka ukuta wa moyo wangu,na kamwe jina lakohaliwezi futika.NAKUPENDA Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali.
SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letuNdilo sababu ya nguvu yanguTangulia pembeni mwa macho yakeAsubuhi hii hadi usiku ujao Read and Write Comments
SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupamahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. Read and Write Comments
SMS ya kumsihi mpenzi wako asikuache
Uchungu wa kifo hauna tofauti na maumivu nitakayoyapata ukiniachana, mpenzi usiniache nami siko tayari kukuacha. Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtumia mume wako
hakika kama ni mume MUNGU kanipatia,kuwa nawe najionakama malkia ,nakupenda mpz na daima nitaenzi penzilako. Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumtakia mahangaiko mema ya kazi
Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe. Read and Write Comments










I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments