
SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako unampenda
Ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama na likutumiwa vibaya halina maana wala thamani.Neno hilo haliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila tu Linatokea Bila kujua na halina sababu.Neno hilo mi mwenyewe silijui ila ndo linatufanya tuwe pamoja Japo tupo Kasi Na Kusi.Nakupenda sana Dear Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa kimapenzi wa kumwambia mpenzi mapenzi huanza na wewe na yeye
Maneno huanza na ABC. Namba 123. Muziki na do re mi namapenzi huanza na mimi na wewe. Read and Write Comments

Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa
Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la juani kama upendo wa thamani usioweza kuuzika. Read and Write Comments

SMS kali sana yenye ujumbe wa kimahaba kwa mpenzi wako
Natamani ningekuwa chozi jichoni mwako ambapo ningetelemkana kuishia midomoni mwako, lakini kamwe sitamani uwe chozijichoni mwangu nitakupoteza kila muda niliapo. Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekeemwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,Usije ukaondoka hakuchinji asilani,Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.ucku mwema Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumwabia umpendaye kuwa unampenda
nimetuma ndege wangu auzunguke ”moyo” wako kwa ” upendo” auguse ”uso” wako kwa ”faraja” na mwishoakunong’oneze sikioni taratibu kuwa nakupenda. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mnapogombana na kukorofishana
teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzihaiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatanebadaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo sikuwakigombana wataachana. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula nawali,usizidishe siki akawa mkali.Nimimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. Read and Write Comments

Ujumbe kwa mpenzi wa kimahaba
yapitayo mdomon yametokea moyon,uyaonayo hadharaninimeagizwa na manani yakuridhishayo nafsini ni utamu wayakini. Read and Write Comments

Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako
Njoo pendo langu nikutembezekatika milango ya furahaNikuwakilishe mbele ya majamaa zanguNikuonjeshe asali ya pendo langu Read and Write Comments
Recent Comments