
SMS tamu ya kimahaba ya kumuomba mpenzi wako asiende mbali na wewe
Mapigo yangu ya moyo huongezeka pindi nisipokuona japo kwadakika plz mpenzi kaa karibu yangu utulize mapigo Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa penzi lako kwake ni la kipekee
Anayekupenda ni mimi,watakaokutamani ni wengi,tafuta dunianzima penzi langu la kweli huwezi kulipata,penzi langukwako ni nuru daima halizimiki. Read and Write Comments

SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tuUzuri wako sio sababu ya mimi kukupendaIla nakupenda kwa matendo yako na jinsi ulivyoumbika. Read and Write Comments

SMS nzuri ya usiku mwema kwa sweet wako
Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako,

SMS nzuri sana ya kutakia usiku mwema
Dah! Safari yetu ilikuwa ngumu kweli ila hatimaye tumefika japo ni usiku sana hebu tupige hodi tusije kabwa na vibaka hapa nje.
Hodiiiiii, Hodiiiii,

Ujumbe kwa mpenzi kumwambia mlitunze pendo lenu
Utakuwa wangu wa maisha daima na penzi le2 litakuwa kmmfuko wa hazina,2talitunza km zaidi ya mboni la jicho. Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula nawali,usizidishe siki akawa mkali.Nimimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumshukuru kwa salamu
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumwambia mtu unayempenda unatamani akupende
Raha ya ucngz ni ucngz . . . .”tamu”ya penzi ni ndoto .Na furaha ya ndoto ni yule umpendaye kwa dhati,nitafurahinikiwa mimi, Read and Write Comments

Ujumbe mzuri wa SMS wa kumfariji mpenzi wako maisha yake yanapokuwa magumu
Furaha yangu kubwa ni kuliona tabasamu lako, kujua uko nafuraha, na kuhisi upendo wako. Najua kuwa maisha maranyingine huwa ni makatili, na hiyo ni sababu niko hapakukuonyesha kuwa maisha yanaweza kuwa mazuri kama kuna mtuanayekujali. Read and Write Comments
Recent Comments