Makala Nzuri kwa Sasa: AckySHINE Kiswahili

Mambo 6 ambayo ni siri ya mwanamke na sio rahisi kukwambia

Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.

Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hivi

*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.**mchaga* : _chips yai bei gani?_*mhudumu*: _elfu 2_*mchaga* : _zina kachumbari?_*mhudumu*: _ndio!_*mchaga*: _kachumbari mnauzaje?_*mhudumu*: _kachumbari ni bure._*mchaga*: _ok basi naomba kachumbari sahani mbili, chips ziache tuuu_.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 _SIPENDI UJINGA MIMI_💥

0 comments

Jinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai

Mara nyingi biringanya hutumika kama kiungo cha nyongeza katika mchuzi. Hata hivyo, kiungo hiki kinaweza kupikwa chenyewe na kutoa mchuzi wenye ladha ya kipekee. Baadhi ya wapishi wameweza kubuni aina hii ya upishi ambayo huweza kupikwa kwa dakika tano tu na kukupa chakula kitamu chenye ladha ya kuvutia. Uzuri wa chakula hi ni kwamba kinaweza …

Jinsi ya kupika Roast ya biringanya na mayai Read More »

Mapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru

Mahitaji Mchele – 3 vikombe Samaki Nguru (king fish) – 5 vipande Vitunguu – 2 Nyanya/tungule – 4 Mafuta – 3 vijiko vya supu Tui la nazi zito – 2 vikombe Pilipili mbichi – 5-7 Kitunguu saumu(thomu/galic) – 7-9 chembe Kotmiri – 1 msongo (bunch) Bizari ya samaki – 1 kijiko cha chai Ndimu – …

Mapishi ya Wali, Mchuzi Wa Nazi Wa Samaki Nguru Read More »

Kufahamu tabia ya rafiki yako wa kike/kiume kabla ya kuoana hata kama anaishi mbali

Unaweza kufanya uchunguzi wa kutosha kuhusu tabia, muono na imani ya rafiki yako hata kama mnaishi mbalimbali. Unaweza kumuuliza maswali kuhusu mahali anapoishi na familia yake kwa ujumla. Jaribu kufanya mawasiliano ya karibu zaidi ili uweze kumdadisi, na yeye aweze kujieleza mwenyewe kwa undani zaidi kuhusu yeye mwenyewe. Njia nyingine ni kutumia watu wengine walio …

Kufahamu tabia ya rafiki yako wa kike/kiume kabla ya kuoana hata kama anaishi mbali Read More »

Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?

SWALI: Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya MMTNTSS

Mapishi ya Pilau Ya Bilingani Na Kuku

Viambaupishi Mchele wa basmati – 3 vikombe Kuku – ½ Bilingani – 2 ya kiasi Viazi – 4 Vitunguu – 2 Kitunguu (thomu/galic) iliyosagwa – 2 vijiko vya supu Pilipili mbichi iliyosagwa – 2 Chumvi – kiasi Garama masala (mchanganyiko wa bizari) – 1 kijiko cha chai Hiliki ya unga – ¼ kijiko cha chai …

Mapishi ya Pilau Ya Bilingani Na Kuku Read More »

Aina ya vyakula vinavyotakiwa kwa wajawazito

Kwa ajili afya ya mama na mtoto ni muhimu sana, mwanamke anatakiwa apate chakula bora kilicho na madini yote kama vitamini na protini. Mama mjamzito anatakiwa apate gramu 100 za protini kila siku. Ifuatayo ni mlo kamili anaotakiwa apate mama mjamzito kila siku ya ujauzito wake kwa afya bora. Hivi ndivyo vyakula bora ambavyo mama …

Aina ya vyakula vinavyotakiwa kwa wajawazito Read More »

Huyu kashauzwa!! Angalia kilichomkuta sasa

Jamaa alionekana Mnyooooonge sana ikabidi mpita njia amuulize… Kaka, mbona u mnyonge hivyo?” Jamaa : ‘aaaaah we niache tu, kuna rafiki yangu nimemkopesha laki tano akafanye PLASTIC SURGERY ya uso, Mwanaharamu sasa nashindwa kumtambua!!! 😂😂😂😂😂😂

0 comments

Eti hili nalo ni kweli kwa dada yako?

Oya people hv kwa mfano Dada yako akisomea sheria ndo anaitwa sister in law? au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

0 comments

Je, kuna dawa yoyote ya kutibu ugumba?

Hakuna jibu la ujumla kwa swali hili, kwa sababu tiba ya ugumba inategemea chanzo maalum cha ugumba huo kwa mhusika. Kuna matatizo ya ugumba ambayo yanaweza kutibiwa, lakini mara nyingi ni vigumu au hata haiwezekani kumtibu mwanaume au mwanamke mgumba.Kwanza kabisa, lazima daktari atafute sababu za ugumba kwa kufanya uchunguzi wa kitaalamu kwa mwanamke na …

Je, kuna dawa yoyote ya kutibu ugumba? Read More »

Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli?

Uwezekano wa kupata majibu ya uwongo ni mdogo sana, isipokuwa tu kama vipimo vitafanyika kipindi i chini ya miezi mitatu baada ya maambukizi ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kukupata. Hata kama vipimo vilivyofanyika ni vya kuaminika, i itabidi uende kupima mara ya pili, kama una wasiwasi na matokeo ya hicho kipimo. Recommended: Je, matokeo …

Je , vipimo vya Virusi vya UKIMWI vinasema ukweli? Read More »

Cheki kilichotokea stesheni ya treni, mambo mengine ukipaniki inakula kwako kama huyu jamaa

Jamaa Wawili Walifika Stesheni, wakakuta Treni ndo kwanza inaondoka. Wakaanza Kuikimbiza. Mmoja akafanikiwa kupanda akaondoka…

Yule aliyebaki akaanza kucheka sanaa mpaka machozi yakamtoka.

0 comments

Faida za kula ukwaju

Ukwaju ni tunda maarufu sana ambalo hupatikana katika maeneo yenye uoto wa kitropiki. Kwa kingereza hujulikana kama tamarind, na kwa kitaalamu (botanical name) huitwa tamarindus indica, waarabu huita tamru alhind. Katika baadhi ya maeneo hutumiwa kama kiungo katika mboga. Ukwaju umetunukiwa viambata muhimu na madini ambayo ni muhimu sana kwa mustakabali wa afya zetu. Una …

Faida za kula ukwaju Read More »

Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu mrembo kanisani

Jamaa kaenda kanisani akakaa karibu na mrembo.
Wakati mahubiri yakiendlea jamaa akaanza kuingiza vocal:
Jamaa: dada mi nakupenda saana
Dem: Kaka naomba umsikilize mchungaji

0 comments

Umasikini isiwe sababu wala utajiri isiwe sababu

Umasikini sio sababu ya kuwa mchafu wala utajiri Sio kuwa na kila kitu hata kama hukihitaji. Hebu angalia hapo nyumbani kwako!

Vitu msivyovihitaji Leo wala kesho mmeweka vya nini? Umenunua makochi mapya Yale ya zamani mmegawana vyumbani mnaishia kurundika minguo hapo na kufuga mipanya.

Godoro umenunua jipya la zamani umeviringisha juu ya kabati. Kabatini kwako kuna nguo ulivaa ukiwa secondary mpaka Leo unazo eti ukumbusho au utazivaa ukipungua.

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya?

Kuna i imani potofu kwamba wote wenye matatizo ya akili wamekuwa hivyo kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Hii siyo kweli. Lakini dawa za kulevya nyingine huleta ulemavu wa akili. Hizi ni zile zii twazo vichagamsho kama kokaini na mirungi. Pale zitumiwapo kwa viwango vikubwa mtu huchanganyikiwa kwa muda wa siku chache au wiki …

Je, watu huchanganyikiwa baada ya matumizi ya dawa za kulevya? Read More »

Watu wanaoishi na ulemavu wanapewa huduma za upasuaji hasa wakati wa kujifungua?

Upasuaji unafanyika kwa wanawake wote ambao wamegundulikakuwa na tatizo la kujifungua kwa njia ya kawaida. Hii inafanyikabila kujali hali yao kwa maana kwa watu wenye ulemavu nawasio na ulemavu. Kila mwanamke atapata huduma hiyo kamaitakuwepo sehemu anapoishi.Tatizo lililopo hapa Tanzania kwa sasa hivi hasa sehemuzilizojitenga ni umbali wa kufikia huduma hii. Umbali huuunamfanya mama aliyeanza …

Watu wanaoishi na ulemavu wanapewa huduma za upasuaji hasa wakati wa kujifungua? Read More »

Duh, Ukisikia ngoma droo ndio hii

Ni noma! Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- “Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako” Mume akamjibu:- “Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila siku kwamba nazini na binti yangu” 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

0 comments

Nini kifanyike nini kwa mtu ambaye hafikii kilele au mshindo wakati anapofanya mapenzi?

Kwa mwanaume, dalili ya kufikia mshindo ni uume kusimama halafu kumwaga manii . Manii kutotoka wakati wa kujamii ana inaweza kusababishwa na mambo mengi. Kutoa manii kunatumia nguvu nyingi za mwili. Kwa hiyo chochote kile kinachompunguzia mwanaume nguvu za mwili kama vile maradhi mbalimbali, ulevi wa pombe au dawa za kulevya, njaa au lishe duni …

Nini kifanyike nini kwa mtu ambaye hafikii kilele au mshindo wakati anapofanya mapenzi? Read More »

Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi

Mahitaji Nyama Ya Mbuzi – 1 Kilo Mchele – 4 Magi Vitunguu – 3 Nyanya – 2 Nyanya kopo – 3 vijiko vya chai Kitunguu saumu(thomu/galic) na tangawizi iliyosagwa – 2 vijiko vya supu Pilipili mbichi iliyosagwa – 1 kijiko cha supu Garam Masala (mchanganyiko wa bizari) – 2 vijiko vya supu Hiliki – 1 …

Jinsi ya kuandaa Biriani Na Sosi Ya Nyama Ya Mbuzi Read More »

Sababu ya meno kubadilika rangi

Wapo baadhi ya watu wanashindwa hata kuachia kicheko chenye bashasha hii ni kwa sababu meno yao yamekuwa na rangi, hivyo kuwafanya watu hao kuona aiabu. Pia watu wengi wakiona meno yana rangi ya njano hudhani ni machafu, meusi yanahitaji kusafishwa ili yawe meupe. Meno kubadilika rangi huweza kuwa ni sababu moja au muunganiko wa sababu …

Sababu ya meno kubadilika rangi Read More »

Ungekua wewe ndio baba wa Huyu mtoto ungemjibu nini?

MTOTO: Hivi Baba wewe umezaliwa wapi?????BABA: Mbeya MTOTO: Mama nae kazaliwa wapi????BABA: TangaMTOTO: Mimi jee?????BABA: DarMTOTO: Sasa tulikutanaje????😂😂 hapo wee kama baba ungemjibuje mwanao😳😳😳

0 comments

Kwa nini watu wanakuwa na hulka ya kuua Albino?

Vitendo vya kuua Albino tunavyovishuhudia sasa ni mambomapya na kwa kila hali siyo njia sahihi ya tiba ya jadi.Baadhi ya waganga wa jadi hutumia viungo vya wanyama nabinadamu katika sherehe zao. Kwa mfano fuvu za binadamuhuwekwa chini ya msingi wa nyumba kuleta bahati njema, aubiashara nzuri. Damu huaminika kuongeza nguvu za kiume(urijali) na kondo la …

Kwa nini watu wanakuwa na hulka ya kuua Albino? Read More »

Jinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwa

MAHITAJI Maziwa ya unga – 2 vikombe Sukari – 3 vikombe Maji – 3 vikombe Unga wa ngano – ½ kikombe Mafuta – ½ kikombe Iliki – kiasi MAPISHI Paka sinia mafuta kabla ya kupika labaniaKatika sufuria chemsha maji na sukari pamoja na iliki mpaka inate vizuriKisha mimina mafuta korogaHalafu mimina unga wa ngano na …

Jinsi ya kutengeneza Labania Za Maziwa Read More »

Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani?

Hakuna mwenye kosa, kwa sababu jinsia ya mtoto i inategemea na bahati na hamna uwezekano wa kupanga kuzaa aina fulani ya mtoto. Tulivyoona juu ni mwanaume ndiye aliye na aina mbili za mbegu. Aina moja husababisha kutokea mtoto wa kike na aina nyingine mtoto wa kiume. Mwanaume hana uwezo wa kuhakikisha achangie aina ya mbegu …

Je, kama mwanamke na mwanaume wanapata watoto wa jinsia moja tu, ni kosa la nani? Read More »

Baada ya walevi wawili kuokota kioo hiki ndicho kilifuata

Angalia kilichotokea

Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema “hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!

0 comments

Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye

Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema

0 comments
Kanisa Katoliki La Roma

Maswali yanayoulizwa sana na Wakristu wa Madhehebu wengine kuhusu Wakatoliki na Imani yao

Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba?
Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha.

Breaking news

Breaking news 💥 Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana na Kufanya tukio lisilo julikana na kukimbilia🏃🏿 kusiko julikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana na mimi sijui ninachosema 😕😕

0 comments

Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia

Mahitaji Dagaa waliokaushwa (dried anchovy 2 kikombe cha chai)Bamia (okra 5)Nyanya chungu (garden egg 5)Tui la nazi (coconut milk 1 kikombe cha chai)Nyanya (fresh tomato 2)Kitunguu (onion 1)Curry powder 1/2 ya kijiko cha chaiTurmeric powder 1/2 kijiko cha chaiLimao (lemon 1/2)Chumvi (salt kiasi)Pilipili (scotch bonnet 1)Mafuta (veg oil) Matayarisho Safisha dagaa na uwaweke pembeni. Baada …

Mapishi ya Dagaa wa nazi, nyanya chungu na bamia Read More »

Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao

JE WAJUA? Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300.FUNZO: Mazoezi ni …

Usichokijua kuhusu sungura, panya na jamii yao Read More »

0 comments

Watu wana vimaneno

Eti linalo jamba ni tumbo makalio ni spika tu Dah!! Nimecheka hadi basi leo 😸😸😹😹

0 comments
Kanisa Katoliki La Roma

MATATIZO YANAYORUDISHA UIMBAJI WA KWAYA KATOLIKI NYUMA

1.Kuwaimbia binadamu.Yaani tupo kwa ajili ya kuimba ili tusifiwe na watu. 2.Kuimba bila tafakari.Mara nyingi tunaimba tu bila kuzingatia ujumbe Wa ule wimbo 3.Kuimba bila kusali!Yasemekana Kuimba ni kusali Mara mbili.Waimbaji wengi hukariri wimbo na nyimbo nyingi zimetungwa kwa njia ya sala lakini wanakwaya wengi huimba tu wala hali ya sala haimo ndani yao! 4.Walimu …

MATATIZO YANAYORUDISHA UIMBAJI WA KWAYA KATOLIKI NYUMA Read More »

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya

Njeri: Roysambu ni ngapi?Makanga: Roysambu ni moja tu. Pengine kama Chinese wamejenga ingine. Odhis: Hii gari haina watu bana.Makanga: Kwani hao wawili wenye wamekaa hapo ndani ni ng’ombe? Man: Wekeni nyimbo za Yesu tafadhali.Makanga: Yesu bado hajatoa album. Akitoa tutaeka. Mwikali: Excuse me conda…gari za Mwingi zinapandiwa wapi?Makanga: Ziliacha kupandwa juu hazimei. Man: Kwani mwisho wa gari ni wapi?Makanga: Mwisho ni hapo penye number plate …

Majibu ya mkato ya kuchekesha Kutoka Kenya Read More »

0 comments
Roho Mtakatifu

Mafundisho ya Msingi kuhusu Roho Mtakatifu

Roho Mtakatifu ni upendo wa Mungu, nafsi ya tatu ya Utatu Mtakatifu, mwenye Umungu mmoja na Baba na Mwana.

Ekaristi Takatifu

Faida ya kuabudu Ekaristi Takatifu

1.Kila saa moja tunayotumia kuabudu, inafurahisha moyo wa Yesu na hivyo majina yetu huandikwa mbinguni kwa ajili ya uzima wa milele (Mama Thereza wa Calcuta) 2.Maisha ya kiroho ya familia zetu yanaimarishwa kwa njia ya saa ya kuabudu (John Paul II) 3. Saa takatifu ya kuabudu ni ya muhimu sana kiasi kwamba roho za waamini …

Faida ya kuabudu Ekaristi Takatifu Read More »

Huu mchezo hautaki makeup

Mama mwenye nyumba anajipodoa anashinda saloon kujipodoa lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na khanga yake moja tuu nyumba inatetemeka😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 huu mchezo hautaki mekapu

0 comments

Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI?

Virusi vya UKIMWI kwa kiasi kikubwa vinaenea kwa njia ya kujamii ana. Kama mtu ana wapenzi wengi wa kufanya ngono, uwezekano wa kupata maambukizi unaongezeka,. Hi ni kwa sababau kila mpenzi anaweza kuwa chanzo cha maambukizi endapo watashiriki ngono za aina yeyote (ukeni au sehemu ya haja kubwa) bila kutumia kondomu.Pia kuchelewa kutibu magonjwa mengine …

Je, ni tabia zipi zinazochangia kuenea kwa virusi vya UKIMWI? Read More »

Kilichompata huyu jamaa mroho wa nyama, Hata kaa arudie tena

Jamaa kaenda kumtembelea rafiki yake Levi, kule sehemu za kwetu, akakaribishwa bonge ya ugali na nyama nyingi tu, wakati anakula akagundua kuwa shemeji yake, mke wa rafiki yake hali nyama;

JAMAA: Aise hili ni bonge ya lanchi hii, lakini Levi mbona

0 comments
Shopping Cart
Home
Books
0
Comments
Account