Ujumbe wa jinsi ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Moyo wangu kwako hautavunjika kamwe. Tabasamu langu kwako halitafutika kamwe. Penzi langu kwako halitaisha kamwe. Nakupenda! Read and Write Comments
SMS nzuri ya ujumbe wa kumtumia mchumba au mke wako mtarajiwa kumwambia asisikilize ya watu
Joto ndio kitu nachotarajia kutoka kwao mke wangumtarajiwa, usisikilize maneno yakuambiwa, ni wewe tumwenye thamani kwangu katika hii dunia. Read and Write Comments
Ujumbe wa mahaba wa kumwambia mpenzi wako unamzimia
nalia ukiwa mbali, nachukia nisipo kuona ,najuta ninapokuudhi ,naumia unapo nitenga , nateseka ukiwa kimya,nafurahi ukinikumbuka, nakupnda mpz Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia dia wako kumuonyesha jinsi unavyompenda
ningependa nikuambie neno ambalo halina gharama naliku2miwa vbaya halna maana wala thaman. neno hlohaliandikiki kwenye karatasi wala hata halitamkiki ila 2Linatokea Bila Kujua Na Halina 7bb.neno Hlo Mi MwenyeweSilijui Ila Ndo Lina2fanya 2we Pamoja Japo 2po Kas Na Kus.Nakupenda Xana Dia Read and Write Comments
SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI,
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa unampenda kweli
Ukweli lazima nikwambiye kwa kuwa sina kimbilio nakupenda kijana mwenzio sijui kwanini hutaki kukisikia changu kilio, namwomba Mungu kila kukicha usikiye changu kilio, nakupenda na kama kukueleza hili nakukosea nisamehe kwani si langu kusudio,luv u mwaah. Read and Write Comments
Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahabasili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidikukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo. Read and Write Comments
Ujumbe mzuri wa salamu kwa mpenzi wako
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu “UHALI GANI MPENZI?” Read and Write Comments
Meseji nzuri ya salamu kwa umpendaye
Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms
SMS ya kumwambia mpenzi wako kuwa haumpendi kwa uzuri wake tuu
Napenda ufahamu kuwa wewe ndiye nikupendae tu
Uzuri wako sio sababu ya mimi kukupenda









I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments