SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear Read and Write Comments
SMS ya kutuma ujumbe wa kipepeo kwa mpenzi wako
Ruka, nenda upesi usichelewe.Tua kwa heshima mbele ya huyu nimpendaye. Sema naye kwa upole, chonde usimsumbue. Mwambie nipo salama ila namuwaza sana. Umwambie nampenda kamwe sitamsahau.
Ujumbe mzuri wa usiku mwema kwa umpendaye
Raha ya ndege kichaka si tunduni asilani,
Raha ya Ndege ujumbe nakupa mpelekee
mwandani iwapo hukumkuta msubiri mlangoni,
Usije ukaondoka hakuchinji asilani,
Mwambie namkumbuka hatoki mwangu moyoni.
ucku mwema
SMS ya kumwambia mpenzi wako hutomuacha na kumuonyesha umuhimu wake
Kama safari tumeianza,kama chakula sinto kusanza,kamanyumba wewe kibaraza na kama ukingo wewe kiambaza. Read and Write Comments
Ujumbe wa mapenzi wa kumpa umpendaye thamani kubwa
Umbo lako kama sayari, lizungukapo umbile la juani kama upendo wa thamani usioweza kuuzika. Read and Write Comments
Meseji ya kumtumia mpenzi wako anapoonyesha kukupenda
Nakupenda kwa kuwa umegundua thamani ya penzi langunakuahidi utafaidi utamu wa mapenzi yangu Read and Write Comments
Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya. Read and Write Comments
SMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi nizawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,nawezakusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyowangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupamahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. Read and Write Comments
SMS ya kumuonyesha mpenzi wako jinsi anavyokupagawisha
Watu waliniambia ninaweza kufanya chochote kama tu nitaweka mawazo yangu juu ya hicho kitu. Lakini kila nikijitahidi unaipoteza akili yangu Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments