SMS kali ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako kumwambia alivyokuteka moyo na akili zako
Mpenzi wangu kukutana nawe ilikuwa ni bahati, kukuchagua kuwa rafiki yangu ilikuwa ni maamuzi yangu, lakini kuanguka kwenye penzi lako haikuwa hiyari yangu. Umeniteka moyo na akili yangu pia. Read and Write Comments
SMS nzuri ya kumtumia mpenzi wako mnapogombana na kukorofishana
teke la kuku halimuumzi mwanaye sawa na dhati ya mapenzihaiumzi moyo wa ampendaye,tugombane sasa hivi tupatanebadaye,najua hakuna wasiogombana ,kama wapo sikuwakigombana wataachana. Read and Write Comments
Ujumbe wa mapenzi kwa mpenzi wako kumwambia unampenada na unamkumbuka
kila niamkapo mawazo yangu huwa kwako na upepo uvumapohuhitaji uwepo wako na hasa nikukumbukapo kumbatolako,nakupenda mpenzi Read and Write Comments
SMS ya kimahaba kumwambia mpenzi wako kuwa yeye ni ndoto yako
Nilikuwa nikifiria kwamba ndoto haziwezi kuwa kweli,lakini nilibadili mawazo yangu pale tu nilipokuona wewe. Read and Write Comments
Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya. Read and Write Comments
SMS ya kumsihi mpenzi wako awe anakupigia simu kwa kuwa hivyo ndivyo kujali
Kusumbuliwa na mlio wa simu yako, humaanisha kuwa mudafulani, mahali fulani, kuna mtu anakufikiria muda huu, nahuyo ni mimi mara zote nakujali. Read and Write Comments
SMS yakumtumia mtu unayempenda lakini hamko kwenye mahusiano
macho huona na moyo hurdhia,ila co kila kitu jicho lionalo moyo hurdhia.lakn pind moyo urdhiapo upendo moyon huingia.moyo huwa kpofu japo wng wa hisia.upendo ndan ya moyo haupimwi kwa mizani kwa unayemzimikia. moyo wangu umepata hisia Kwa flan licha bdo cjamjua. Read and Write Comments
SMS nzuri ya mapenzi ya kutakia usiku mwema
Mungu akupe umri wa mnazi uishi mingi miaka.
Akupe thamani ya mnazi kila kitu chatumika.
Kuanzia kuti lake mpaka kwenye kidaka.
Kitale katikati yake ukila utaridhika.
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumtakia mahangaiko mema ya kazi
Ukipata tutakula na wala usijali mpenzi wangu.Ukikosa tutalala na hiyo itabaki siri yanguuuuuuuu.nakupenda mpz Read and Write Comments












I’m so happy you’re here! 🥳












































































Recent Comments