SMS ya kumwambia mpenzi wako anakufaa kwa kila kitu
Maji hunitosha nisikiapo kiu, chakula hinitosha nisikiapo njaa, lakini wewe hunifaa kwa kila kitu! Read and Write Comments
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa huna linalokuhuzunisha maishani kwa kuwa mnapendana
Imani hufanya mambo yote yawezekane, Matumaini hufufuayaliyopoteza uhai, lakini mapenzi hufanya mambo yoteyaonekane mazuri. Sina linalonihuzunisha maishani mwangukwa kuwa tunapendana! Read and Write Comments
SMS ya kumtumia mpenzi wako kumwambia kuwa unamjali na kumpenda milele
Tambua kuwa nakujali
Furahia kwamba nitakuwa na wewe
Katika siku zote za maisha yangu
SMS ya kumtumia mmeo au mpenzi wako unapokuwa kwenye siku zako
Nina habari nzuri nataka kukuambia kuna mgeni leo kajakunitembelea,nguo nyekundu amevalia yaani!utamu wako kwasasa siwezi kukupatiakwa maana mgeni kashakuharibianakupenda dear Read and Write Comments
SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yakonitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu,pendo langu la undani,na nitakUHESHIMU milele mpenzi wangu. Read and Write Comments
SMS ya kumdekeza mpenzi wako na kumwambia unavyompenda
mapenzi ni utoto,deka ulie nitakubembeleza,mapenzi nizawadi tabasamu nibusu niambie kiasi gani unanpenda,nawezakusema asilimia kubwa jina lako limezunguka kuta wa moyowangu.kamwe jina lako haliwezi kufutika.nakupenda sana. Read and Write Comments
Meseji nzuri ya kumtumia mpenzi umpendaye kwa moyo
Katika nyuso za dunia, na kati ya miamba ya jangwani, Kuna SAUTI! Neno la pendo lako liotapo
Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako kuwa yupo juu katika mapenzi
Imara hautikisiki,kakamavu halishikiki penzi langu kwakoni nuru daima halizimiki.upo juu katika mapenzi. Read and Write Comments
Ujumbe wa kimapenzi wa kumuahidi kumpa mahaba mpenzi wako
Hakika wewe ndiye wangu mahabuba unayejua kunipa huba,napenda unavyoniganda mithili ya ruba, nahahidi kukupamahaba yanayozidi shaba. Nakupenda. Read and Write Comments
Meseji ya kumkaribisha mpenzi wako
Njoo pendo langu nikutembezekatika milango ya furahaNikuwakilishe mbele ya majamaa zanguNikuonjeshe asali ya pendo langu Read and Write Comments









I’m so happy you’re here! 🥳














































































Recent Comments