
SMS ya kuahidi kumpenda mpenzi wako milele
Niliumbwa kwa ajili yako, mbele yako nitakushika mkono, nikuonyesha sayari yangu, pendo langu

SMS ya kumtumia mpenzi wako wakati wa usiku
Uamkapo nitakupa langu tabasamu
Ukweli wa moyo utawale roho yako
Kwani macho yako ndo uzuri kwangu
Nakupenda sasa na milele kipenzi change

Ujumbe wa kumwambia mpenzi wako ni wa thamani kwako kwa hiyo akikuacha atakuumiza
Nakupéndä mpènzi wèwè ùnåumuhimu mkubwa kwenye maishayangu kwani ukiniacha mpenzi utanisababishia kovu ambalohalitapona .nakupenda sana Read and Write Comments

Meseji nzuri ya kimahaba ya kumtakia usiku mwema mpenzi wako
Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumtakia mpenzi wako asubuhi njema
Katika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana.. nakutakia ASUBUHI NJEMA Read and Write Comments

Ujumbe wa kumsifia mpenzi wako
Unaonekana kung’ara leo nilijuaje…….ni kwasababuunaonekana hivyo kila siku. Nakupenda sana Mpenzi wangu vile ulivyo kila siku kwangu wewe ni mpya. Read and Write Comments

Ujumbe wa kumjulia hali mpenzi wako wakati wowote
Sio Maua yote Huonesha Upendo,
“Ni Waridi pekee”
sio Miti yote Hustawi Jangwani
“ni Mtende pekee”

Meseji nzuri ya kumjalia hali umpendaye
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula nawali,usizidishe siki akawa mkali.Nimimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. Read and Write Comments

SMS nzuri ya kumwambia mpenzi wako kuwa anayo moyo wako
Naweza kukuazima mabega yangu upande, masikio yanguusikilizie mikono yangu ushikie, miguu yangu, utembelee,lakini si moyo wangu kwani tayari unao wewe. Read and Write Comments

SMS ya kumtumia mpenzi wako kumshukuru kwa salamu
Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu. Read and Write Comments
Recent Comments